jakackseru
Senior Member
- Mar 15, 2014
- 132
- 27
Nahitaji Toyota Starlet milango mitano,iwe katika hali nzuri,bajeti yangu milioni nne (4mln)
Mwenye nayo anicheki WhatsApp kwanamba 0757888666 nipo Dar-es-salaam.
ongeza japo 2.5ml hapo ili uletewe hilo gari unalotaka
Nahitaji Toyota Starlet milango mitano,iwe katika hali nzuri,bajeti yangu milioni nne (4mln)
Mwenye nayo anicheki WhatsApp kwanamba 0757888666 nipo Dar-es-salaam.
Mi nahitaji mark II grande gx 110 bajet yangu 7.5 unaweza kuniletea?
Mi nahitaji mark II grande gx 110 bajet yangu 7.5 unaweza kuniletea?
iko silver number B 7 kamili, unaitaka?
unahitaji la kuagiziwa maana mm naagiza toka nje kama uko serious tufanye biashara hiyo mkuu
1990 mkuu, rangi ya silver, iko safi.CC ngapi? naitaka mkuu
mtu keshasema anahitaji starlet ..na bajet yake 4m. kama hauna si unapita tuuuuuuu......kwani lazma umpe suggestion? ooh ongeza 2m upate blablabla...mara ongeza xyz Mil. ish watu wengine bana.
Nina Mitsubishi pajero min cc 650 bei mil 4Nahitaji gari any brand budget m4 check me 0713725772
4wd mitsubishi pajero GDI 5doors ni Pm