Gari I.S.T inauzwa bei poa

Gari I.S.T inauzwa bei poa

Llio 002

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
1,639
Reaction score
2,078
Kichwa cha habari chahusika gari hiyo hapo inauzwa millioni nane na laki tano gari ipo dar Gongo la mboto
Mawasiliano 0655541948
1477037125169.jpg
1477037139959.jpg
1477037147588.jpg
1477037410380.jpg
1477037418841.jpg
1477037429960.jpg
 
8.5 m sio bei poa wakati ushaitumia? hiyo ni bei ya showroom ndg, kama 6 M chukua, njoo inbox
 
6.5 M cash on hand right now call back plz
 
show room 11m-13m komaa watachukua tuu
 
teh..teh..ingekuwa mwaka jana miezi kam hii mdada kesha rushwa wasp kwa buzi linanuna faster kwa sasa do! kazi ipo kidogo
 
Hii Boneti uliofungua inakuharibia,
Inaleta picha kwamba gari spana mkononi
 
Nakupa 7m kamili.. Hiyo ndo bei ya namba C used kama hiyo. Ukiweka kuanzia 8.5 ujue ni D
 
8.5 si bora niongeze kidogo nikachukue dude la hatari,hiyo ukisema 7 au 6.5 sawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom