Gari hiko sokoni

Wa nyamadyaki

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2013
Posts
1,178
Reaction score
529
Nauza hii vitz bei mil 6.5 maelewano yapo, haina tatizo ni PM tufanye biashara
 
hiko ama iko?? wewe mpare nini mkuu
Cc mshana jr njoo umsalimie mkuu

infact kametulia kagari
 
Bantu lady njoo huku kama utaipenda nilipe fedha.
 
Last edited by a moderator:
hivi mama ulishamnunulia??

vipi mzee anazeeka sasa kutembelea public basi hawezi tena ila nakumbuka ulishamfanyia mpango
Namshukuru Mungu wazazi wangu wote wawili wana magari yao, wanachohitaji kutoka kwangu ni ushauri tu mengine wanayamudu wenyewe kwa uwezo wa Mungu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…