Majid Mnana
Member
- Jan 19, 2015
- 19
- 2
Noah Toleo la kwanza utapata kwa miliono 11.1
Hongera Bhana..ubarikiwe madamu unajenga Taifa powa... The Boss acha tuzungushe fedha... Mie nina left hand drive...imezituma congo !!Kaka yangu The Boss. Mimi ni mfanyabiashara. Nauza gari ili nipate faida. Pia Ninawaagizia magari wateja wananilipa Commission laki 5.
Mteja anayehitaji gari ambalo mimi sina. Ninamuagizia. Kuna baadhi ya wateja ambao hana uvumilivu wa kusubiri gari kwa muda wa mwezi mmoja na nusu. Hawa ndiyo nawauzia kwa faida.
Gari ikinifikia mkononi ndo utachukua hela siyo? yaani yako na ya kununua gariNissan Serena toka Japan . Bei sh million 15. Bei inapungua
Pia ninaweza kukuagizia Gari yoyote unayoitaka kwa unafuu. Utanilipa Commission sh laki 5 kama garama ya kukuagizia. Utapata gari zuri kwa bei nafuu. Karibuni sana.
Wasiliana nami;
Managing Director of
MNANA MOTORS & BIKES AGENCY
Majid Ahmed Mnana
P O Box 31886
Mobiles; +255 784 604971
+255 714894088
+255 762641094
Emails; mnanadotcom@gmail.com
mnanacom@yahoo.com
Dar-es-salaam
T A N Z A N I A
Sasa mbona unaongea vitu vinavyo jipinga?
unamuagizia mtu gari kwa bei nafuu
wakati wewe mwenyewe unauza hii gari kwa milioni 15
je mtu akiipata gari kama hii kwenye mtandao umuagizie la bei nafuu?
utamsaidia au utataka kumuuzia lako?
Hiyo serena zipo hadi dola 800....ukiagiza hadi huku haizidi milioni 8...
wewe unauza kwa milioni 15?