1. Happy Nation
SAA 10 Jioni siti ni 2x2. VIP ina Choo.
2. Happy Nation @ 2 usiku, Siti 1x2 VVIP ila haina choo.
3. Abood Bus VIP ina choo, nadhani inatoka saa 10 jion.
Pia kuna Frester na Travel Partner..hizi nazo sina uzoefu nazo.
Ila nakushauri usije ukapanda Frester ya saa nane mchana na Travel Partner ya mchana, zinaongoza kwa kuwa daladala, mtapakia njiani hadi kuku, na hazijali muda. Kwao mteja ni mtumwa.
Wenye uzoefu zaidi wataongezea.