Gari Cresta inauzwa.

Ata kama ni machinga style ila yako imezidi. ungeanza ata na mil 6 basi.

Ndo uwelcome negosiesheni wakwetu.
 
Hata wa mkoani huwezi kumuuzia kwa bei hio mkuu. Nilinunua msumali wa hatari mark2 grand gx115 kwa 7. 2mn namba hiyo.
Gari nzuri lkn punguza bei, tena kwa usawa huu ndio kabisa, labda kama huna haraka😀
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…