umetibua kaka. teh tehjangala hiyo bei ndugu yangu mmh! Ujue hapo bandarini zipo m6 tu
Nimekuelewa vizuri sana poaMkuu mshana,,,,..bei inapungua mbona tatizo hakuna!
Hapana kumbe bei inapungua na kwakweli hiyo gari imetunzwaumetibua kaka. teh teh
uchumi kwa kweli umefumba macho
Subiri kidoogo.. Wa mikoani wanakuja sasa hivi...
Na kodi ukishalipia inafika sh. Ngapi?Mkuu bandarini mpaka 5.8
Jmn acheni mizaha namba C gari hiyo bei chee unapata wapi?Usimlaumu mshana kaka
Bei hiyo gari hizo unapata mbili used uu Mark X
Hakuna zaidi ya 380000 ya plate numberHuko bandarini 6M ukijumlisha na kodi inafika ngapi?
Usipotoshe ndugu nielekeze nikachukueHakuna zaidi ya 380000 ya plate number