Gari (coster) inauzwa bei poa

Gari (coster) inauzwa bei poa

dip pub

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2014
Posts
389
Reaction score
74
Gari ya biashara coster inauzwa ipo katika hali nzuri, ushuru imeshalipiwa. gari ipo Dar es salaam bei ni milioni 40 mwenye pungufu mazungumzo yapo kwa mawasiliano zaidi piga 0714358610
 

Attachments

  • IMG_20140903_110316.jpg
    IMG_20140903_110316.jpg
    438.9 KB · Views: 409
Wataikubali Sumatra,hawa sumatra nao wanajichanganya.
We gari inaingia badnarini hata kama ya mwaka 1950 na kodi inalipiwa sasa wao wanafikiria inakuja kulala kitandani?
Bei Sio mbaya na bado nzuri.
 
Wataikubali Sumatra,hawa sumatra nao wanajichanganya.
We gari inaingia badnarini hata kama ya mwaka 1950 na kodi inalipiwa sasa wao wanafikiria inakuja kulala kitandani?
Bei Sio mbaya na bado nzuri.

umeona mkuu
lazima ipige kazi
 
Asante kaka.
Ngoja tuzichange.
Hembu tupeno uzoefu wa gari hembu niambie Engine 3B ni sahihi kwa Daladala?
CC Lucky 77
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom