iwe namba D.
iwe rangi ya Dark blue, red, dark green au maruni. isiwe nyeupe au silver.
isiwe na mstari.
Iwe katika best condition ( imenyooka No dents)
iwe haijarudiwa rangi
iwe haidaiwi (full vibari)
km unayo, Hela ipo nzuri!...ni PM au nichek kwa email: vieloon@gmail.com
madalali hawatakiwi...mimi ndio dalali wa mwisho, ukiforce udalali jua utakula kwa muuzaji.