Gari Canter tonne 3 inauzwa

Gari Canter tonne 3 inauzwa

SONGEAKWETU

Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
18
Reaction score
13
Wadau Habari,

Nauza gari langu pichani. Ni Canter Tonne 3. Bei ni nafuu sana.

Mhitaji serious tuwasiliane kwa namba 0654 998326

Karibuni
 
Wadau Habari,

Nauza gari langu pichani. Ni Canter Tonne 3. Bei ni nafuu sana.

Mhitaji serious tuwasiliane kwa namba 0654 998326

Karibuni

We mwenyewe haupo serious alafu unataka mteja serious atoke wapi? unauza gari kama unauza kinyesi kama unaiona mali unaficha ficha nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom