Gari aina ya spacial inahitajika

Gari aina ya spacial inahitajika

floow

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2017
Posts
411
Reaction score
858
Kwa anae uza gar aina ya spacial new model... 0719921552
Anipigie ..gar iwe katika hali nzur namba B,C na D Pekee A haitakiwi.. Iwe katika hali nzur
Bajet ya muhusika ni 4:5 milion


NIMEPANDISHA DAU JAMANI SASA NI 5 million spacial new model
 
Acha kuangalia namba. Inaweza kuwa namba A lakini ikawa vizuri kuzidi D! Hiyo budget yako kwa Spacio usitegemee gari nzuri sana.
 
Kuna gari Ziko mikoani # A utafikiri imetoka Japan Jana, tafuta # D za Dar utashangaa
 
Eti 4.5m masharti kibao!!
Chezea tatu mzuka ipande ifike angalau 9m upate chombo cha uhakika!!
 
Eti 4.5m masharti kibao!!
Chezea tatu mzuka ipande ifike angalau 9m upate chombo cha uhakika!!
Mkuu iyo ni bei ya awal ...lakini chombo ikipatikana yenye ubora ...pesa inaongezwa
 
Back
Top Bottom