A Ados Senior Member Joined Feb 26, 2011 Posts 117 Reaction score 20 Feb 23, 2012 #1 Nahitaji Noah ofa yangu 11M mwenye nayo anipigie 0767236210
Osaba JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 1,942 Reaction score 802 Feb 23, 2012 #2 Ados said: Nahitaji Noah ofa yangu 11M mwenye nayo anipigie 0767236210 Click to expand... Ongeza pesa kidogo ukachukue showroom au agiza mwennyewe kuliko kununua vimeo
Ados said: Nahitaji Noah ofa yangu 11M mwenye nayo anipigie 0767236210 Click to expand... Ongeza pesa kidogo ukachukue showroom au agiza mwennyewe kuliko kununua vimeo
L LAT JF-Expert Member Joined Nov 20, 2010 Posts 4,400 Reaction score 1,317 Feb 23, 2012 #4 Ados said: Nahitaji Noah ofa yangu 11M mwenye nayo anipigie 0767236210 Click to expand... huo mzigo ninao, nimeku-pm
Ados said: Nahitaji Noah ofa yangu 11M mwenye nayo anipigie 0767236210 Click to expand... huo mzigo ninao, nimeku-pm
S sisi agent Member Joined Nov 19, 2011 Posts 30 Reaction score 16 Feb 23, 2012 #5 Nipigie kwenye 0715177960 ipo imetembea km 56000 tu ya mwaka 2002.
Idimi Platinum Member Joined Mar 18, 2007 Posts 15,506 Reaction score 11,439 Feb 24, 2012 #6 sisi agent said: .....imetembea km 56000 tu ya mwaka 2002.... Click to expand... Si utani
M Mrekebishaji Senior Member Joined Mar 19, 2009 Posts 168 Reaction score 63 Feb 24, 2012 #7 Idimi said: Si utani Click to expand... hata mimi natufuta noah ila offer yangu ni 5.8 mil cash pia natafuta Subaru nina 6.5 mil
Idimi said: Si utani Click to expand... hata mimi natufuta noah ila offer yangu ni 5.8 mil cash pia natafuta Subaru nina 6.5 mil
L LAT JF-Expert Member Joined Nov 20, 2010 Posts 4,400 Reaction score 1,317 Feb 24, 2012 #8 Mrekebishaji said: hata mimi natufuta noah ila offer yangu ni 5.8 mil cash pia natafuta Subaru nina 6.5 mil Click to expand... duh, mkuu utaua bendi, budget yako ipo nusu ya market price au unataka zile zilizoshapigika kule Karatu na Ngara
Mrekebishaji said: hata mimi natufuta noah ila offer yangu ni 5.8 mil cash pia natafuta Subaru nina 6.5 mil Click to expand... duh, mkuu utaua bendi, budget yako ipo nusu ya market price au unataka zile zilizoshapigika kule Karatu na Ngara
Eeka Mangi JF-Expert Member Joined Jul 27, 2008 Posts 3,173 Reaction score 485 Feb 24, 2012 #9 Mrekebishaji said: hata mimi natufuta noah ila offer yangu ni 5.8 mil cash pia natafuta Subaru nina 6.5 mil Click to expand... Hiyo Noah unayotafuta hakuna mkuu 5.8! labda kwa vunja vunja utapata. Au unatafuta msamiati? Huku kwetu noah zianitwa kiti moto mkuu
Mrekebishaji said: hata mimi natufuta noah ila offer yangu ni 5.8 mil cash pia natafuta Subaru nina 6.5 mil Click to expand... Hiyo Noah unayotafuta hakuna mkuu 5.8! labda kwa vunja vunja utapata. Au unatafuta msamiati? Huku kwetu noah zianitwa kiti moto mkuu
BONGOLALA JF-Expert Member Joined Sep 14, 2009 Posts 16,511 Reaction score 11,911 Feb 24, 2012 #10 ipo toka japan nipigie 0784719595
Eeka Mangi JF-Expert Member Joined Jul 27, 2008 Posts 3,173 Reaction score 485 Feb 24, 2012 #11 Ados said: Nahitaji Noah ofa yangu 11M mwenye nayo anipigie 0767236210 Click to expand... Uko pande zipi mkuu? Ninazo kama mbili hivi uje uchague. Ni inbox tuongee mbucha mangi!
Ados said: Nahitaji Noah ofa yangu 11M mwenye nayo anipigie 0767236210 Click to expand... Uko pande zipi mkuu? Ninazo kama mbili hivi uje uchague. Ni inbox tuongee mbucha mangi!
M Mrekebishaji Senior Member Joined Mar 19, 2009 Posts 168 Reaction score 63 Feb 24, 2012 #12 Eeka Mangi said: Uko pande zipi mkuu? Ninazo kama mbili hivi uje uchague. Ni inbox tuongee mbucha mangi! Click to expand... samahnai kwa usumbufu uliojitokeza. kuhusu Noah ni kuwa nina 8.5 mil na sio 5.8mil
Eeka Mangi said: Uko pande zipi mkuu? Ninazo kama mbili hivi uje uchague. Ni inbox tuongee mbucha mangi! Click to expand... samahnai kwa usumbufu uliojitokeza. kuhusu Noah ni kuwa nina 8.5 mil na sio 5.8mil