mzee wa magumashi
Senior Member
- Oct 10, 2012
- 137
- 44
Asante Mzee wa Magumashi.
Hakikisha ukienda kununua unaenda na fundi wako.
Kuna watu walijifanya kujua walilia,unaweza kujikuta unanunua Body tupu.
Angalizo jingine,wakati unanunua hakikisha kadi ya gari inasoma sawa,na number yaani Serial na Engine Model numbers zipo sahihi.Maana hili nalo mafundi wengi huwa wanasahau.
Jiji la Dar limeharibika sana,sio siri,Tajiri Tapeli,maskini tapeli.
Hizo ni taratibu ambazo z ishatolewa chief.Asante Mzee wa Magumashi.
Hakikisha ukienda kununua unaenda na fundi wako.
Kuna watu walijifanya kujua walilia,unaweza kujikuta unanunua Body tupu.
Angalizo jingine,wakati unanunua hakikisha kadi ya gari inasoma sawa,na number yaani Serial na Engine Model numbers zipo sahihi.Maana hili nalo mafundi wengi huwa wanasahau.
Jiji la Dar limeharibika sana,sio siri,Tajiri Tapeli,maskini tapeli.
wew ni middle man au!!
Daradara=Daladalanatafuta gari aina ya Noah ambalo lilikuwa kweny matumiz binafsi na si daradara
tsh 6.5 ml cash..
mawasiliano
0673609535
wew ni middle man au!!
,8mil ninayo
Hili usiulize.
Kuna vitu ukihitaji lazima Dalali apite kati,maana wao wanajua kila kona.
Sio kila mwenye gari anajua pa kuinadi kari yake kwamba anauza,ila dalali ni finders wazuri wa wapi kuna mali na nani mwenye shida ya kuuza mali yake.
Ulaya wanaheshimika sana ila hapa tunawakimbia,