Car4Sale Gari aina ya BMW X5 inauzwa

Car4Sale Gari aina ya BMW X5 inauzwa

Yale ya kiboya yamekaa kizembe sana yani kama matenki.

Na penyewe hio 2014 BMW ni 2.0L diesel in 231HP wakati 1VD-FTV V8 twin Turbo ana 268HP still lazma abow down kwa mwamba VX-R!
Pambanisha na BMW X5 M performance mzee, sio mnajishindanisha na kinyonge, ili mshinde 😀😀😀
 
Huku jf matajiri magari yetu ni bmw 3-series,c-clas,Audi A4 ambazo bei zake ni kama za IST tu.hayo mambo ya mil 85 hayapo huku.
Hizi ndio size za wana JF eeh? wapo vizuri sana
Screenshot_20211211_132249_com.android.chrome.jpg
 
M performance hamna mbongo anaeweza kumiliki wala huwezi kuikuta kwenye highway za bongo huko ambako VX-R anajizolea ushindi! Tupambanishe gari zilizopo tu😂
Pale hotelin penyewe ambapo mda mwingi nakuwepo M performance ipo ile ya blue.. bongo mbona zipo kibao huzioni, tembea ushuani huku 😂😂😂😂
 
Hio A4 nimeiona ila kwa matajiri wa humu kikomo ni 2009 tu! Tutavunja nazi kumtafuta mchawi ila mwenye A4 ya 2019 tunaweza tukasubiri miaka 6 mbele😂😂😂
Ushuani huku zipo mzee baba 😁
inakuwaje mwamba analinganisha bei ya IST na audi A4.. achukue IST na Audi ya 2015 afanye milingano ya bei
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom