Garatwa: Tangu nijiunge na CHADEMA sijawahi kuona Upendo mkubwa wa TBC kama huu wanaomwonesha Mwenyekiti wetu Mbowe sasa, Je huyu Mbowe ni huyu huyu?

Umeandika pumba tupu, leta hoja na sio huu uharo wako wa kichawa.
Wakati ukuta na huu sio wakati wa Mbowe, sisi wanachadema tunajua namna alivyofeli na anavyodidimiza chama chetu siku hadi siku.
Tukimchekea atakiua kama ilivyo CUF ya lipumba au UDP ya Cheyo.
 
Lissu akirushwa live na TBC, kupatwa kwa upendo.
View attachment 3182428
Na mimi MKE wangu alitakaga HAKI SAWA na mimi,mpaka NDOA imevunjika 2021 manake mimi niligoma {usikute ni katabia ka UCCM} manake alikomaa kuliko TUNDU LISSU!!!,,,,yaani unaambiwa nilikuwa nikitoka kazini ananisachi mfukoni kuona nimebakiza chenji,,,kama zipo anachukua,,,alafu anavizia nimeishia usingizini,ananinusa mdomo,akikuta nanukia harufu ya BIA na KITI MOTO ananiasha kwa kibao,,,nikawa namuuliza shida ni nini?,,akaniambia pesa inabidi zigawiwe kwa baadhi ya ndugu,UKWENI na baadhi ndugu zake wanaosoma,,na mpaka kwa watoto wa dada yake walizalia nyumbani,,,dadadake,,,,nikichelewa kutoa pesa mshahara ukitoka,,,anatimba mpaka ofisini,,,,na wa vile bosi ni mwanamke,,,wanaungana unaambiwa,,,naminywa,,,mpaka posho zangu za safari na mafuta ya gari anapewa yeye!!!,,nilichemka,nikahama ile ofisi na yeye akkasepa mazima!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…