Garatwa: Tangu nijiunge na CHADEMA sijawahi kuona Upendo mkubwa wa TBC kama huu wanaomwonesha Mwenyekiti wetu Mbowe sasa, Je huyu Mbowe ni huyu huyu?

 

Attachments

  • 5900516-2dae5c1f3887d759229713b8a563fcc1.mp4
    7.1 MB
Ni hatari kuwa na mwenyekiti anayempendeza mwenyekiti mwingine wa chama shindani.....
 
Lissu anatosha. Kikubwa Mbowe atumie busara tu ila akitaka kwenda bampa to bampa na Lissu atamtoa nishai.

Akili za Lissu anazijua mwenyewe, waulizeni CCM.
 
We tafuna au utapike hatuwezi kumpa chizi chama.
Hebu tueleze lisu amekua mbunge jimboni kwake ni kitu gani wananchi wanaweza wakajivunia lisu kuwaketea.
Lissu anakusanya Kodi mpaka awaletee watu kitu!? Ficha upumbavu wako. By the way "hiyo hatuwezi" Yako inajumuisha watu Gani wengine!? Maana navyoelewa kura ni Siri, hamuwezi wewe na nani!?
 
Dawa ni sanduku la Kura - Mbowe vs Lissu.
Hakuna opton nyingime kwa sasa.
Sijui kama kuna mtu anaye pinga hili. Ya muhimu ni huo uchaguzi uwe HURU na HAKI kwa kila mshiriki, basi.

Lakini Isije kuwa uchaguzi wa aina ya huu unao wapa CCM ushindi kila mara. Huo siyo ushindi unao patikana kwa haki.
 
Kweli wako way ahead. Ndio maana wanavunja BoT na kuiba fedha za kugharamia michakato yao ya chaguzi.
Kitu pekee wanacho weza kujidanganya nacho kuwa "way ahead", ni kumtegemea Mbowe awasafishie njia kwa kuwavuruga wenye nia thabiti ya kuwaondoa CCM madarakani. Mradi wao huu usipo fanikiwa, hali itawawia ngumu sana huko CCM. Kwa sababu hata huko ndani ya CCM kuna watu wasio pendezwa na mwenendo wa chama chao chini ya Mwenyekiti wao.
 
Unajitekenya Kisha unacheka! Huo ni ukichaa. Yaani Lissu anagombea uenyekiti kwa maelekezo ya Nchimbi! Huu ujinga mtupu.
Wacha uitwe jayjay soma between lines. Dr.nchimbi ndio anazungusha midfield ya chadema kunyukana wenyewe kwa wenyewe wakija kushutuka 2025 uchaguzi huu hapa.
 

Imetulia
 
Wacha uitwe jayjay soma between lines. Dr.nchimbi ndio anazungusha midfield ya chadema kunyukana wenyewe kwa wenyewe wakija kushutuka 2025 uchaguzi huu hapa.
Porojo TU hizi. Eti Nchimbi! Endelea kujitekenya
 
Mbowe mitano tena
 
Sawa Mzee Garatwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…