joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,399
- 41,520
Si mazungaombwe kama haya mliyo fanya South.Yanga timu inayoendeshwa kimauzauza.
View attachment 2862423
Hivi haya mauza uza alilipia nani?? Yanga inaendeshwa kimazingaombwe kama enzi za mwanamazingaombwe Profesa Singira.
tuko happi sana wana Lunyasi...Watu wanatafuta furaha kwa nguvu
Baridi ya Sauzi watu wanaota moto hapo... 😉 😉Si mazungaombwe kama haya mliyo fanya South.
View attachment 2862676
Kwa zile dola 5000 mlitozwa kwa kuota moto, halafu mnajisifu kwa uweledi.Baridi ya Sauzi watu wanaota moto hapo... 😉 😉
Yule dogo alileta mambo yake tukamtimua kaja kwenu ndiyo mnataka kumtoa kafara Okrah!!Kwa zile dola 5000 mlitozwa kwa kuota moto, halafu mnajisifu kwa uweledi.
Mnatia aibu tena mbele kamera mechi inaonyeshwa Afrika nzima,mmepanda ndege na mizigo yenu ya kuni na vibiriti ili kuziharibu nyasi za watu na inawezekana humo kwenye ndege napo mlifanya mazingaobwe ili msionekane na mizigo yenu.Yule dogo alileta mambo yake tukamtimua kaja kwenu ndiyo mnataka kumtoa kafara Okrah!!
Lazima aseme CL sio sawa na CC kwakua anajua mafanikio aliyoyapata NABI yeye kufikia ni ngumuKocha wa simba Zoran Maki alipotua kwenye timu hiyo akaanza kuongea kama vile ameletwa kuongoza timu ya Ulaya. Akaanza kukosoa viwango vya wachezaji wa timu ya Simba na mifumo ya uchezaji wao. Tunaozijua timu za Kariakoo tukajua anajipiga ngwala mwenyewe. Siyo muda akatimuliwa na Dejan wake naye akasepa.
Sasa Miguel Gamond kocha wa Yanga naye mara aseme mashindano ya "Champions League" siyo sawa na "Confederation", mara wachezaji wengine wa timu viwango vyao viko chini sana ukilinganisha na wale wa kikosi cha kwanza. Gamondi jichunge!!
Nabi alipata mafanikio Champions League??Lazima aseme CL sio sawa na CC kwakua anajua mafanikio aliyoyapata NABI yeye kufikia ni ngumu
Hapana alipata CCNabi alipata mafanikio Champions League??
Kabisa Mkuu.Watu wanatafuta furaha kwa nguvu
Nawe uwe unaelewa unajibizana na nani, wachawi hawaelewagi somoSoma uelewe halafu ndio utoe majibu