kama game hilo tu wala huitaji kuwa na gaming pc.
nafikiri hizi hizi computer za i3,i5 na i7 zenye intel graphics kuanzia 4000 na ram 4gb au kuendelea zinakufaa.
hilo game ni moja game jepesi hata dual core cpu inacheza bila shida. muhimu tu ukiwa na dual core cpu basi uwe na hata gpu za nvidia gt series au amd hd series.