Game ya 3D ya Kenya

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
 
Last edited by a moderator:
Sisi tumekalia teamkiba na teamdiamond aisee ni heri ningekuwa mkenya
 
Hapa nimefurahi, wakeyiiii najuaga vile mwafanyanga,
Bhaelezee, bhaelezeee bha tansania bhakatende
 
Wakenya nawapongeza kwa wanavojituma, these guys wanajua umuhimu wa technology ndo maana wanaipush forward kila angle, ndani ya miaka 10 hawa jamaa si developing country tena, utawasikia wanafukuzia uchumi wa nchi kama s.korea... ngoja bongo tujivute kwanza wenzetu wameanza kukimbia, tukija kuanza kutembea watakua washakufa na njaa wengi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ