Game Supermarket inafungwa, wale warembo sijui wataenda wapi?

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,835
Niliwahi kwenda zaidi ya Mara Tatu kwenye hii supermarket, nilienda mlimani city kufanya shopping Kuna vibinti vitatu nilivikuta vinafanya kazi kwenye hii supermarket they are very cute to the extent japo Wana nyodo sana unaingia ndani kama vile hawakuoni huwa wanajiona wamefika Sasa game supermarket anasema ifikapo 25/12/2022 anasepa Kwa madiba.

Swali la kujiuliza Hawa wadada waliokuwa wanaringa kufanya kazi Kwa huyu mkabulu wataenda Wapi??, ndugu zangu maisha ni watu tukisema muishi na jamii tunamaana. Haya Sasa mbio za sakafuni zimeishia ukingoni njooni nipo magomeni niwashone niwape 20000 kulala . Pumbavu sana niliomba namba mkanichunia karibuni Sasa kitaa kunawaka moto kama WA petrol. Nyang'au nyie
1667146781925.jpg
 
Sasa Cha kufurahisha hapo ni nini?

Watu kuwa na nyodo wakiwa kwenye ajira na kazi zao,ni vitu vya kawaida sana,ukienda voda,Tigo,tra,benk,wadada wote wanakuona kama kikaragosi,especially ukiwa hujatupia pamba kama Mond,au Idrissa

Kuna siku nimeenda hospitari moja,masaki,sasa nipo counter,naona sipewi huduma,watoto wa kike,wamevimbisha makalio,wanajiongelesha kiswaenglish tu,nilipotoa kadi yangu ya bima,wakaona mpunga wa hio bima kwenye system zao,macho yakawatoka!maswali kibao,huyu kaka na madevu yake,na majasho kibao ni nani!!kumbe baharia nimetoka zangu gym,nimepita hapo kucheki afya kidogo!!!

Wakati naondoka,walipoona "dungu jeshi"ninalosukuma,......acha kabisa,
 
Mtoa mada unaonekana ni fukara ambaye akili yako imeharibika kutokana na umasikini uliokithiri; yaani unamchukia mtu bila sababu!

Na imani yako ni kwamba ukimchukia mwenye nacho, basi wewe utafaidika. Useless guy!
Kaa kimya kama huwajui hawa wadada, laiti ungewaona wanavyolinga usingekomenti huu utopolo
 
Sasa Cha kufurahisha hapo ni nini?
Watu kuwa na nyodo wakiwa kwenye ajira na kazi zao,ni vitu vya kawaida sana,ukienda voda,Tigo,tra,benk,wadada wote wanakuona kama kikaragosi,especially ukiwa hujatupia pamba kama Mond,au Idrissa,
Kuna siku nimeenda hospitari moja,masaki,sasa nipo counter,naona sipewi huduma,watoto wa kike,wamevimbisha makalio,wanajiongelesha kiswaenglish tu,nilipotoa kadi yangu ya bima,wakaona mpunga wa hio bima kwenye system zao,macho yakawatoka!maswali kibao,huyu kaka na madevu yake,na majasho kibao ni nani!!kumbe baharia nimetoka zangu gym,nimepita hapo kucheki afya kidogo!!!
Wakati naondoka,walipoona "dungu jeshi"ninalosukuma,......acha kabisa,
Huwa wanaringa sana afu wengi Wana level ya certificate kwenye elimu Yao tena za art
 
Back
Top Bottom