omary khamis
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 402
- 77
Computer yako haina tatizo. Tatizo ni network ya mtandao iko na figisu figisugraphics card yako ina ukubwa gani?
Unacheki vp hizo graphics mkuugraphics card yako ina ukubwa gani?
Kivipi mkuu sijakuelewa apoComputer yako haina tatizo. Tatizo ni network ya mtandao iko na figisu figisu
Ilikua pro evolution soccer 2014na games linahitaji uwe na graphics card nzuri na ume install game gani?
Kwa details za computer yako ulivyozielezea ziko imara kabisa kustream chochote online bila kusitasita. Internet connection yako kama siyo imara inaweza kuwa tatizo. Kama internet yako uaiamini basi jaribu kufanya complete scanning ya virus ktk computer yako. Kama haujafanya virus scanning ya mara kwa mara, huenda kuna virus, trojans, malware na uchafu mwingine ambao uanifanya computer yako iwe inakwenda mwendo wa kobe. Kama huna virus software. Basi itafute uiweke. Na fanya weekly virus scanning kwenye computer yako. Pia check firewall yako. Kila la kheri.Kivipi mkuu sijakuelewa apo
Kama unacheza hiyo game offline bila kuwa online basi itakuwa ishu ya virus. Graphic card inaweza kuwa dhaifu lakini haiwezi kukupa kusuasua kwa sababu ram uliyokuwa nayo inatosha. Hizo specifications za hiyo game na computer yako vinaendana?Computer yako haina tatizo. Tatizo ni network ya mtandao iko na figisu figisu
Graphics card yako ni ndogo...mimi yangu inaspecification hizo hizo lakini PES 2017 linacheza poa lakini graphic card yangu ni NVIDIA GeForce 310MIlikua pro evolution soccer 2014
Hio graphic unacheki vpGraphics card yako ni ndogo...mimi yangu inaspecification hizo hizo lakini PES 2017 linacheza poa lakini graphic card yangu ni NVIDIA GeForce 310M
mkuu,unaweza nisaidia io pes 2017Graphics card yako ni ndogo...mimi yangu inaspecification hizo hizo lakini PES 2017 linacheza poa lakini graphic card yangu ni NVIDIA GeForce 310M
Wakuu na mm nilikua naomba mnisaidie hyo Pes ninaweza kuipata vpmkuu,unaweza nisaidia io pes 2017