ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 23,649
- 57,044
Kama sio mtu wa kuzurura Sana mitaani mida ya jioni na huwa unawahi kurudi nyumbani Basi unapokaa na mpenzi wako mida ya jioni kusindikiza usiku ebu jaribu kucheza kwa zamu wewe na mpenzi wako game linaitwa bubble shooter linapatikana playstore.
Chezeni kwa zamu stage moja mpaka nyingine ukishinda au ukikosa unampa mwenzako i swear utanishukuru baadaye kama unampenda mpenzi wako basi mapenzi yatarudi kama vile mpo katika uchumba kila kheri.
Chezeni kwa zamu stage moja mpaka nyingine ukishinda au ukikosa unampa mwenzako i swear utanishukuru baadaye kama unampenda mpenzi wako basi mapenzi yatarudi kama vile mpo katika uchumba kila kheri.