Gambo tulikuonya ukatuona tuna njaa, sasa pambana na hali yako

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Asiyesikia la mkuu daima uvujika guu.

Wapinzani tulimwambia sana Gambo kuwa siasa anazofanya za kufitinia watu ni mbaya sana maishani.

Kipindi kile Jiwe yupo madarakani Gambo alituona tunasumbuliwa na njaa tu.

Leo hii Jiwe hayupo uvccm na wenye madaraka yao ndani ya chama na serikalini wameanza kumwandama.

Ewe Gambo jiandae kabisa kurudi ivinza ukauze chumvi uliyo zoea maana siasa sasa haikufai.
 
Asiyesikia la mkuu daima uvujika guu.

Wapinzani tulimwambia sana Gambo kuwa siasa anazofanya za kufitinia watu ni mbaya sana maishani.

Kipindi kile Jiwe yupo madarakani Gambo alituona tunasumbuliwa na njaa tu.

Leo hii Jiwe hayupo uvccm na wenye madaraka yao ndani ya chama na serikalini wameanza kumwandama.

Ewe Gambo jiandae kabisa kurudi ivinza ukauze chumvi uliyo zoea maana siasa sasa haikufai.View attachment 2755118
Hawa madogo gambo na wenzake walijisahau san, na kumtegemea mwanadam ambae hurudi mavumbini!!
 
Asiyesikia la mkuu daima uvujika guu.

Wapinzani tulimwambia sana Gambo kuwa siasa anazofanya za kufitinia watu ni mbaya sana maishani.

Kipindi kile Jiwe yupo madarakani Gambo alituona tunasumbuliwa na njaa tu.

Leo hii Jiwe hayupo uvccm na wenye madaraka yao ndani ya chama na serikalini wameanza kumwandama.

Ewe Gambo jiandae kabisa kurudi ivinza ukauze chumvi uliyo zoea maana siasa sasa haikufai.View attachment 2755118
Mambo ya ccm waachiwe wenyewe mkuu
 
Kuna siku 3 kabla ya uchaguzi wa 2020 niliwakuta yeye na Bashite pale Mount Meru nilijisikia vibaya sana maana walionekana kama watoa roho
Arusha waliibadisha ikawa kama Wild West kwenye film za Cowboys ilikuwa ni ubabe tu na kuonea Watu huku wakipewa "Greenlight" kutoka Ikulu.
 
UVCCM wanakuwaga na Ujinga sana

Sasa Mteule wa Rais atamfurahisha nani kama siyo Rais?

Rais ndio mbeba maono ya Awamu yake!
 
Arusha waliibadisha ikawa kama Wild West kwenye film za Cowboys ilikuwa ni ubabe tu na kuonea Watu huku wakipewa "Greenlight" kutoka Ikulu.
Aisee kwa wana wa Arusha tulikuwa tukikutana nao moyo unaanza kudunda
 
Kuna siku 3 kabla ya uchaguzi wa 2020 niliwakuta yeye na Bashite pale Mount Meru nilijisikia vibaya sana maana walionekana kama watoa roho
Viongozi wa zama za Magufuli walikuwa na hadhi fulani hivi ya utisho hasa kwa watu ambao walitenda kwa ubaya! Sio zama za leo watu hata hawawahofii viongozi wao. Walah natamani zama zile zijirudie! Tuliheshimiana sana! Hakukuwa na habari za "unajua mi ni nani?!" 😄
 
Aloo... tulipitia kipindi kigumu sana TRA nao walikuwa wanatumwa wawakomoe wafanyabiashara na wengi walifilisiwa.
Kwahiyo wewe unafurahia sasa ambavyo wananchi ndio wanakomolewa kwa kukosa umeme, maji, gharama kubwa za bidhaa, tozo, na makato mengine kwenye account bila makubaliano?
 
Lema hana jipya,asijisumbue..ccm inawatu wengi wenye uwezo kuliko gambo..ila chedema bado japo siipendi ccm
 
Viongozi wa zama za Magufuli walikuwa na hadhi fulani hivi ya utisho hasa kwa watu ambao walitenda kwa ubaya! Sio zama za leo watu hata hawawahofii viongozi wao. Walah natamani zama zile zijirudie! Tuliheshimiana sana! Hakukuwa na habari za "unajua mi ni nani?!"
Unapendelea udikiteta
 
Kwahiyo wewe unafurahia sasa ambavyo wananchi ndio wanakomolewa kwa kukosa umeme, maji, gharama kubwa za bidhaa, tozo, na makato mengine kwenye account bila makubaliano?
Wewe ulikuwa unafurahia unyama na unyanyasaji wa kina Gambo na Bashite na Sabaya?
 
Kwahiyo wewe unafurahia sasa ambavyo wananchi ndio wanakomolewa kwa kukosa umeme, maji, gharama kubwa za bidhaa, tozo, na makato mengine kwenye account bila makubaliano?
Au nawewe ulishiriki kutenda mateso kwa watanzania?
 
Back
Top Bottom