Leta tips sasaMimi niko fiti kalkiti. Nilitumia kama mwaka kujifundisha haya madude. Nilipoanza kushusha mikeka, kuna mbetishaji akanifungia nikawa nashindwa kuweka mikeka nikaacha. Alijaribu kunidhibiti kwa namna zoote nikawa namchomoka. Ningeendelea na spidi ile, kwa sasa ningekuwa nimeshajenga ghorofa.
Mpira ni hesabu. Na kubet pia. Kasome tena hesabu za Probability na Combination...Leta tips sasa
Ukiwa unabet unanitupia kamkeka hata ka 50KMpira ni hesabu. Na kubet pia. Kasome tena hesabu za Probability na Combination...
Wee! Ukiliwa utalia machozi.Ukiwa unabet unanitupia kamkeka hata ka 50K
Yaani nipe timu za odds Za kula 50k, mbona kula na kuliwa ni matokeoWee! Ukiliwa utalia machozi.
Habarini Wadau,
Jamani naombeni msaada wenu katika hili;
Mimi ni mhitimu ya shahada ya Marketing lakini ninaona kuna opportunity kubwa sana uko mbeleni kwenye sekta ya michezo ya kubahatisha.
Kwa sasa sekta hii inachangia pato la taifa kwa kulipa kodi ya kiasi cha bilioni 1.4 kwa mwezi,ni sekta inayokuwa kwa kasi kubwa na kuajiri watu wengi sana. Sasa ktika uchunguzi wangu nilioufanya nimeshindwa kupata chuo kinachotoa masomo haya kama taaluma rasmi. Naombeni mnisaidie kushare majina ya vyuo vinavyofundisha/kutoa degree,masters katika maswala ya michezo ya kubahatisha.
Nawashauri vijana wanosoma sasa waangalie taaluma ipi itakuwa na manufaa kwao,kuliko kufuata taaluma zisizokuwa na mantiki katika karne hii.
Nawasilisha,wako mjezi mwezako wa twaifa hili.
Mkuu kamfufue Sheikh Yahaya Hussein au wasiliana na mirithi wake pale Magomeni Mwembe chai 😀😀😀😀😀😀
Are you sure that there is no too much salt in your foodMimi niko fiti kalkiti. Nilitumia kama mwaka kujifundisha haya madude. Nilipoanza kushusha mikeka, kuna mbetishaji akanifungia nikawa nashindwa kuweka mikeka nikaacha. Alijaribu kunidhibiti kwa namna zoote nikawa namchomoka. Ningeendelea na spidi ile, kwa sasa ningekuwa nimeshajenga ghorofa.
Mkuu....unataka kuanzisha kituo au unataka kuanza kubettNilijaribu ikashindikana ndio maana nimekuja huku.
Nataka kuwa mtaalamu wa maswala ya esports and betting as professional.Mkuu....unataka kuanzisha kituo au unataka kuanza kubett
Mkuu....kwanza inabidi uwe mtu wa kupenda mpira sana uwe unajua league nyingi sanaa sio kidogo pili inabidi uende makao makuu ya hizi betting center kwa DsmNataka kuwa mtaalamu wa maswala ya esports and betting as professional.
Niwe na degree au masters ya esports or betting,kuna fursa naiyona mbele yangu kwa hiyo naitaji taaluma hii kama inavyokuwa taaluma nyingingine i.e Engineering,Human Resources, Business Administration n.k
Betting industry sio mprira peke yake, kuna michezo mingi sana,lakini lengo langu kuu ni kuwa mtaalamu m-bobezi katika maswala haya ya esport and online betting or esports book makersMkuu....kwanza inabidi uwe mtu wa kupenda mpira sana uwe unajua league nyingi sanaa sio kidogo pili inabidi uende makao makuu ya hizi betting center kwa Dsm
Ndio mana nimekwambia ushauri huo Mzee kama upo free kesho nenda makao makuu mfano sportpesa waulizie watakupa ABCBetting industry sio mprira peke yake, kuna michezo mingi sana,lakini lengo langu kuu ni kuwa mtaalamu m-bobezi katika maswala haya ya esport and online betting or esports book makers