pole sana kwa kupoteza muda ila ushawahi fikiria kuhusu bahati?
ukijiona huna bahati sio kwenye betting tu. Jiangalie maisha yako je ww ni mtu wa kukomaa au mambo yako yanaenda ki bahati bahati nikimaanisha kuwa unapo plan jambo lako utatumia nguvu lifanikiwe au unajikuta tu umefanya limeenda kama ulivyotaka hizo ndo zinaitwa bahati.
Haziji hivi hivi je? unatoa sadaka, unakumbuka wasiojiweza, Wazazi wana amani na furaha juu ya maisha yako, wazee wako karibu na wewe kama majibu umetayapata tathmini kipi kimepungua kwakua ukiweza kwenda sawa baraka na neema za ulimwengu zitakua juu yako.
Zile tunazipokea pale tunapotoa au kukaa na watu vizur ndio baraka na ndio zinazofanya smooth running ya maisha yako utajikuta unafanya jambo mpka unasema mungu kanibariki lakini kuna baraka na maombi ya matendo yako kwa jamii.
Kwahyo nakushauri usiache kamari hata mara moja ndugu ww jenga hazina yako.
Jiulize ww ni nani ukose wengine wana weka dau la shl.100 na wanabutua vizur tu ma milioni japo sio kila siku ila kwa stor yako naona kabisa ushaumia sana kwenye game.[emoji41]
Hakiamungu unaweza kujinyonga.nilirudi kijijin hivihivi,baada ya kuishiwa mtaji mpaka na cm kuuza ndipo nikaacha mpaka leo.
Ulibet kwa miaka mingapi?Anaweza mimi nlichukua uamuzi siku moja tu na nikaacha na sasa ni mwaka wa 2 na miezi sijabet.
Nlikuwa nabet nakula ila meza ikageuza nikaanza kuliwa kwa kasi kuna siku nliliwa ela nyingi sana na ndipo nilisema naacha rasmi
Hichi hapa mkuu.. ni very helpful
Ulibet kwa miaka mingapi?
Kama umecheza kamari kwa zaidi ya miaka 7 na kuendelea hapo kuacha kwa ghafla ni mtihani mzito.
Ndiyo, inawezekana kuacha, lakini siyo jambo rahisi hata kidogo. Addiction ya gambling and spots betting ni mbaya sana.
kua na roho ngumu mm leo mwaka wa pili sitak kusikia hyo kitu.Nimepoteza a year’s worth of savings kwa ajili ya hii kitu, leo nime hakikisha nime futa mpaka banking apps zote ili nisifanye deposit yoyote. Ni kama naanza upya kila kitu.
Kwa miaka kama 3 mkuuUlibet kwa miaka mingapi?
Kama umecheza kamari kwa zaidi ya miaka 7 na kuendelea hapo kuacha kwa ghafla ni mtihani mzito.
Ndiyo, inawezekana kuacha, lakini siyo jambo rahisi hata kidogo. Addiction ya gambling and spots betting ni mbaya sana.
Miaka 3 unaweza ukamudu kuacha. Wenye mtihani ni wale waliocheza kamari kwa miaka 7 na zaidi.Kwa miaka kama 3 mkuu
Ujuaji mwingi sana lazima achapike [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa kiingereza hicho usipigwe na mhindi[emoji23][emoji23][emoji23]
The house always wins. I had a good run once ya kama 2 months nashinda na niki lose nakuta profit ziko juu ya losses, then kuanzia mwezi wa saba mpaka leo nahisi nimeona rangi nyekundu nyingi sana. Nimesha kubaliana na hali hii kuwa kushinda si kila siku.
Storry of my life, I am a workaholic ,yaani napiga kazi kweli kweli monday to Sunday),kwa mwezi natengeneza kama 7 to 8m,kwa mwezi napoteza 3 to 5M kwenye gambling,nilianza 2008 ,mpaka sasa sijaacha(new africa,las vegas,sea cliff ,online casino,zile local sijui cleopatra,za wachina zile za 200) casino zote hizo nina membership cards,nimekuwa sugu last week nilipoteza 5M in two days,yaani niliuza gari ili niache kamari,so kutoka ofisinj napanda dala dala straight home ,nikaanza kucheza online ,nikapigwa mpaka kuchakaa,hao princess wananipaga bonus ya mpaka laki 4 same to premier bet yaani huwa mpaka wananipigia kunipa offer na bonuses .Nalipa ada, nalisha familia najiendeleza kwa namna flani. Kilicho niumiza ni kujipoteza katika addiction hii, sija wahi kupata addiction yoyote katika maisha yangu hata pornography ilinipita!! This is the first addiction na pia mbaya zaidi losses za 1M nililkua naweza kuzi mudu na ndo maana nimeweza kufanya upuuzi kama huu.
Kosa kubwa sana watu wanalofanya kwenye betting ni kutaka kurecover loss muda huo ukipigwa.Unaweza mkuu we futa ma apps yote.
Mimi kabla ya kubet kwa apps nlianza kuwa nacheza kamari ya karata toka niko darasa la nne. Nilikuwa addicted nayo kiasi kwamba siwez cheza karata kama sio kamari.
Nilikuja kuacha na mpaka leo sipendi mchezo wa karata kabisa.
Mwaka 2016 nikaanza kubet kwa apps nikawa addicted nlianza taratibu nami ikafika nikawa naweka kuanzia laki mpaka lak tano. Nikawa nakula ila ukaja msimu wa kuliwa nlikuwa napoteza pesa kuna siku nilipgwa ela nyingi nikataka kuirudisha nikapgwa tena nikataka tena rudisha nikapigwa na stake nilizokuwa naweza sikuwah weka stake kubwa hivyo.
Nikasema betting naacha na nikaacha
Umenena vyema mkuupole sana kwa kupoteza muda ila ushawahi fikiria kuhusu bahati?
ukijiona huna bahati sio kwenye betting tu. Jiangalie maisha yako je ww ni mtu wa kukomaa au mambo yako yanaenda ki bahati bahati nikimaanisha kuwa unapo plan jambo lako utatumia nguvu lifanikiwe au unajikuta tu umefanya limeenda kama ulivyotaka hizo ndo zinaitwa bahati.
Haziji hivi hivi je? unatoa sadaka, unakumbuka wasiojiweza, Wazazi wana amani na furaha juu ya maisha yako, wazee wako karibu na wewe kama majibu umetayapata tathmini kipi kimepungua kwakua ukiweza kwenda sawa baraka na neema za ulimwengu zitakua juu yako.
Zile tunazipokea pale tunapotoa au kukaa na watu vizur ndio baraka na ndio zinazofanya smooth running ya maisha yako utajikuta unafanya jambo mpka unasema mungu kanibariki lakini kuna baraka na maombi ya matendo yako kwa jamii.
Kwahyo nakushauri usiache kamari hata mara moja ndugu ww jenga hazina yako.
Jiulize ww ni nani ukose wengine wana weka dau la shl.100 na wanabutua vizur tu ma milioni japo sio kila siku ila kwa stor yako naona kabisa ushaumia sana kwenye game.[emoji41]
Storry of my life, I am a workaholic ,yaani napiga kazi kweli kweli monday to Sunday),kwa mwezi natengeneza kama 7 to 8m,kwa mwezi napoteza 3 to 5M kwenye gambling,nilianza 2008 ,mpaka sasa sijaacha(new africa,las vegas,sea cliff ,online casino,zile local sijui cleopatra,za wachina zile za 200) casino zote hizo nina membership cards,nimekuwa sugu last week nilipoteza 5M in two days,yaani niliuza gari ili niache kamari,so kutoka ofisinj napanda dala dala straight home ,nikaanza kucheza online ,nikapigwa mpaka kuchakaa,hao princess wananipaga bonus ya mpaka laki 4 same to premier bet yaani huwa mpaka wananipigia kunipa offer na bonuses .
Nimejaribu kuacha mara kadhaa nikashindwa,manaake naacha miezi miwili ,nikirudia naliwa 2m au 3m
Dec 31 itakuwa tar yangu ya mwisho kucheza kamari,imetoka moyoni.nimrmshirikisha wife pia .nitafoward pesa yote kwa account ya wife then atanipa kidogo ya mafuta na matumizi yangu personal
Storry of my life, I am a workaholic ,yaani napiga kazi kweli kweli monday to Sunday),kwa mwezi natengeneza kama 7 to 8m,kwa mwezi napoteza 3 to 5M kwenye gambling,nilianza 2008 ,mpaka sasa sijaacha(new africa,las vegas,sea cliff ,online casino,zile local sijui cleopatra,za wachina zile za 200) casino zote hizo nina membership cards,nimekuwa sugu last week nilipoteza 5M in two days,yaani niliuza gari ili niache kamari,so kutoka ofisinj napanda dala dala straight home ,nikaanza kucheza online ,nikapigwa mpaka kuchakaa,hao princess wananipaga bonus ya mpaka laki 4 same to premier bet yaani huwa mpaka wananipigia kunipa offer na bonuses .
Nimejaribu kuacha mara kadhaa nikashindwa,manaake naacha miezi miwili ,nikirudia naliwa 2m au 3m
Dec 31 itakuwa tar yangu ya mwisho kucheza kamari,imetoka moyoni.nimrmshirikisha wife pia
Yaani hapa ndio umeharibu kusema utaforward pesa kwenye account ya mkeo.nitafoward pesa yote kwa account ya wife then atanipa kidogo ya mafuta na matumizi yangu personal
Kosa kubwa sana watu wanalofanya kwenye betting ni kutaka kurecover loss muda huo ukipigwa.
Betting ni kama zilivyo biashara nyingine, huitaji kustake ukiwa umepanic. Ikitokes umepigwa ondoka, tuliza akili then rudi ubet baada ya siku kadhaa.
Pia kubet sio lazima iwe kila siku, jiwekee muda. Jiwekee limit kwenye betting, kwamba nikiliwa hii au nikila hapa ni mwisho.
All in all, betting inahitaji nidhamu ya hali ya juu.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app