Julius Kaisari
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 1,176
- 683
kama bado inatumia Firmware v2.2 fanya upgrade to v2.3.3 Gingerbread, itaondoa bugs na kuiweka ktk hali nzuri zaidi....Heshima zenu!<br />
Mwenye ujuzi anisaidie,nina mashine yangu ya Samsung Galaxy tab GT P1000. Nilinunua brand new.katika kutaka kuifaidi,nilikuwa nikidownload masoftware from markets ya android,hatimaye ikaanza kuleta mazingaombwe ya kustuck na inaclose open application zote.niliamua kufuta vyote nilivyoinstall,kwa ku-reset(factory reset). Baada ya hapo speed ya internet imekuwa slow sana na sometym inadisplay failed to comnunicate to server. Je nifanyeje? <br />
Nitashukuru kwa msaada.
<br /><font color="#222222">fuatilia hii documents vizuri ili ufanye upate 2.3.3 GingerBread kwenye Tablet yako, ...</font>