mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 12,102 Reaction score 8,771 Jun 21, 2013 #1 Wapendwa ni sehemu gani zinuzwa Stylus ambazo naweza kutumia kwenye Samsung Galaxy tablet,kwa anayejua naomba aniambie duka ikiwezekana na bei yake.Angalizo nahitaji ya dukani na si kwa mtu binafsi anayeuza,asanteni
Wapendwa ni sehemu gani zinuzwa Stylus ambazo naweza kutumia kwenye Samsung Galaxy tablet,kwa anayejua naomba aniambie duka ikiwezekana na bei yake.Angalizo nahitaji ya dukani na si kwa mtu binafsi anayeuza,asanteni