galaxy tab 2 for sale

galaxy tab 2 for sale

tumlack

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
675
Reaction score
49
nauza galaxy tab 2 ..10.1 inchez...
bei 700.
old 1 month..full box..
for serious buyer..whatsapp mi
0767879784
 
nauza galaxy tab 2 ..10.1 inchez...
bei 700.
old 1 month..full box..
for serious buyer..whatsapp mi
0767879784

Mkuu hiyo bei si ni sawa.na mpya yenye waranty ya mwska mzima?
 
Kama ni kwa Tshs. 600,000 itakuwa poa. Pia iwe na 3G.
 
Me nnayo Samsung galaxy tab 3, SM-T211 white ipo kwenye hali nzuri sana..178.0mm(7.1), WSVGA 1024×600 LCD....memory 16gb..suport 3g..bei 750000 ipo arusha..anayeitaji anicheki whatsup 0767086777...
 
Me nnayo Samsung galaxy tab 3, SM-T211 white ipo kwenye hali nzuri sana..178.0mm(7.1), WSVGA 1024×600 LCD....bei 750000 ipo arusha..anayeitaji anicheki whatsup 0767086777...

Umejaza info ambazo sio za msingi. Watanzania tujifunze ku-market products zetu. Kama ku-market product huwezi, clients lazima awe na doubt na product yako.

Kwa mfano wewe ulitakiwa uandike kama hiyo Tab yako ina 3G na WI-FI au WI-FI pekee yake.

Ulitakiwa uandike capacity ya ROM na RAM. Ulitakiwa kuandika android version yake n.k
 
Watanzania ni washamba sana kwenye mambo ya ku market products zao
 
Umejaza info ambazo sio za msingi. Watanzania tujifunze ku-market products zetu. Kama ku-market product huwezi, clients lazima awe na doubt na product yako.

Kwa mfano wewe ulitakiwa uandike kama hiyo Tab yako ina 3G na WI-FI au WI-FI pekee yake.

Ulitakiwa uandike capacity ya ROM na RAM. Ulitakiwa kuandika android version yake n.k

Inasuport 3g, inatumia line na ina WI-FI pia.. android vision ni 4.1.2.., ni Dual-Core mkuu...naweka picha afu ni made in Vietnam mkuu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom