Mhh niilikuwa naitafuta dah
bila shaka hizi zitakuwa cloneHata clone ni made in Korea. So kuwa specific ni clone au original? Kama ni zenyewe bei zake zipo chini sana.
Hata clone ni made in Korea. So kuwa specific ni clone au original? Kama ni zenyewe bei zake zipo chini sana.
Hii ni Samsung Galaxy S3 mini. Ni size ya kati kama S4 mini lakini ni ya third generation. Haina tofauti kubwa na S4.Hiyo Slll ndo aina gani
Du, Arusha itakuwa ngumu kidogo. Labda kama una ndugu dar akuchukulie. Ninauwezo wa kukutumia kwenye mabasi ya Kilimanjaro kama utaniamini!Aise mimi niko Arusha ntaipataje?
Hata clone ni made in Korea. So kuwa specific ni clone au original? Kama ni zenyewe bei zake zipo chini sana.
Hata clone ni made in Korea. So kuwa specific ni clone au original? Kama ni zenyewe bei zake zipo chini sana.
mkuu sijaelewa iyo s3 na s3mini bei sawa??
Du, Arusha itakuwa ngumu kidogo. Labda kama una ndugu dar akuchukulie. Ninauwezo wa kukutumia kwenye mabasi ya Kilimanjaro kama utaniamini!
Clone hawatoi warranty mkuu!