Mbuki Feleshi
Senior Member
- Jan 24, 2011
- 155
- 29
kaka badilisha screen touch ni elfu sitini pamoja na ufund
mkuu pole sana.
ingrkuwa masuala ya software tungeweza kusaidiana. lkn kwa kuwa imeingia maji inabidi uprleke kwa fundi yeyote mzuri aangalie tatizo ni maji bado yapo ndani kwa kuifungua SIM.
Inabidi uapugredi screen kwa ku download screen nyingine
Sim=laini?
osambi nahitaji mother body ya s3 wapi naweza pata mkuu?kaka badilisha screen touch ni elfu sitini pamoja na ufund
du unazinguamkuu toa betri na cover then dumbukiza katika mchele hakikisha ni white rice na uwepo ndan ya plastic container iweke at list for 3 days......fanya ivo kabla hujaua display.....