Galaxy Note 9s pen hai-connect naomba msaada

kijazi07

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2016
Posts
1,036
Reaction score
2,238
Anaejua namna ya kufanya hii s pen i connect mweny simu naomba msaada yaaan ni kwamba inafanya kazi kama kawaida ina sense vizur na kila kitu kipo sawa isipokuwa hilo la kucconect maana isipo conect kweny simu kunabaadhi ya mambo siwez yafanya
naomben msaada wakuu wa kaz.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
inawezekana shida ikawa kwenye kioo chako, maana nyuma ya kioo kuna karatasi flani hivi ndio hufanya hiyo peni kufanya kazi sasa kuna mawili
1:-Lile karatasi limebanduka kutoka kwenye connector
2:_Lile karatasi limekufa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio Sio kwamba haifany kaz inafanya kaz na ina sense bila tatizo ishu ni kwamba haiconect na simu hivyo kuna baadhi ya vitu kutofanya kaz mfano kuitumia kupiga picha na vitu vingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…