edger jairos
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 335
- 71
- Thread starter
-
- #21
ThanksTafuta betri ili kupata betri orgn tembelea vituo vya samsung service centre hapa Samsung Mobile - Customer Care
ukinunua betri la mitaani tatizo lako litaendelea nakusihi tafuta betri husika kutoka kwa company yao na ikishindikana kabisa nenda wakutengenezee
OkAghh wewe ndio unaigiza mkuu, nenda kwa fundi wakueleweka aichungu yeye atakupa jibu sio uende na majibu
nenda sehemu husika simu yako km haijafunguliwa na bado ina warranty itatengenezwa bure
Sasa huu ndo uandishi gani,Ni bira nikusanye info kuhus ttzo il nkiend kwa fnd tujue tunaanzaje.n kushglkia ttzhusik mnk mfnd weng wa kuigiz
ukinunua simu yenye warranty wala hupati headache kama hizo.Hayo ndio matatzo ya samsung edges
Yangu ilianza hivyo ivyo kupata moto na kuzima gafla na kujiwasha...siku ikazima haikuwaka mpaka leo...nimewapelekea samsung wakasema ni motherboard inatatzo
Nimeamua kuipack
jaribu kuifanyia calibration hio battery kabla hujachukua uamuzi wa kuipeleka kwa fundiHi.Naomba kuuliza sim twaja hapo juu imkua na ttizo la kupata moto sana na inpofkia asilima 70 za betri huwa ina zima ghfla,na baad y dakka nkiwasha ndo inawaka.yan kimcng inazima zima sana.Saidia plse...the problem and soln
Mkuu shida ni battery hapoHi.Naomba kuuliza sim twaja hapo juu imkua na ttizo la kupata moto sana na inpofkia asilima 70 za betri huwa ina zima ghfla,na baad y dakka nkiwasha ndo inawaka.yan kimcng inazima zima sana.Saidia plse...the problem and soln
Niuzie mm hiyo ya mazabod na mm nikajaribu kuangaika nayoHayo ndio matatzo ya samsung edges
Yangu ilianza hivyo ivyo kupata moto na kuzima gafla na kujiwasha...siku ikazima haikuwaka mpaka leo...nimewapelekea samsung wakasema ni motherboard inatatzo
Nimeamua kuipack
Ni bira nikusanye info kuhus ttzo il nkiend kwa fnd tujue tunaanzaje.n kushglkia ttzhusik mnk mfnd weng wa kuigiz
Watoto wa Fesibuku hao!Sasa huu ndo uandishi gani,
Unaandika kama.......