Galaxy ace 5830 inauzwa

Galaxy ace 5830 inauzwa

Fazoo9

Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
19
Reaction score
3
Galaxy ace 5830 inauzwa kwa bei ya tsh.270,000 tu.
Kama unahitaji ni pm tuongee biashara.
 
simu aina ya nokia 168 inaandika contact service nimehangaika nayo sasa sijui nibadilishe kitu gani msaada wa kuu?
 
Yani mi nilinunuaga sh 530000, leo mnauza bei hiyo! au ya kichina!
 
Kaka imetumika ndo maana nauza kwa bei punguza.bei ya dukani inajulikana na inauzwa coz kuna mashine mpya nyingne
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom