Galax Pocket

Galax Pocket

mkada

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
1,200
Reaction score
908
Nina shida ya haraka sana na galax pocket mwenye nayo plz aniuzie,nina Tsh 150,000/= lakini inaweza kupungua kutokana na hali ya bidhaa.No yangu ni 0712494808.
 
mkuu unataka mpya na original au used? maana nimeingia samsung online qoute bei walioniambia iko tofauti kabisa wao wanasema ukiweka kwa hela zetu ni tsh 225000 warranty one year angalia usije ukachakachuliwa. anyway ni ushauri tu watu wanajua wanavyopata sim kwa bei rahisi, ila huwa siwaamini sana na ndio maana huwa nawagongea moja kwa moja wao,
 
Ukifanya kwa laki 1. 7 nakuuzia yangu ambayo imekaa miez miwil tuu!! Mpyaa
 
mkuu unataka mpya na original au used? maana nimeingia samsung online qoute bei walioniambia iko tofauti kabisa wao wanasema ukiweka kwa hela zetu ni tsh 225000 warranty one year angalia usije ukachakachuliwa. anyway ni ushauri tu watu wanajua wanavyopata sim kwa bei rahisi, ila huwa siwaamini sana na ndio maana huwa nawagongea moja kwa moja wao,

yangu ipo hapa naiuza pia nliinunua mlimani city kwenye la samsung naiuza kwa bei ya 200k with garranty ya miezi 22 its fully boxed
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom