ila watz bwana hata maji tu tunawekeza kwa waarabu koko?
sasa faiza foxy..inaelekea unawafahamu vizuri ila thread umeiweka kimaswali tena!ila ngoja watu waamke asubuhi wa huko gairo watupe majibu
Kuna kitu hujakisema.... spouse wako ana interest kwenye shughuli kama hii.
Nauliza hili linatoka moyoni ama ni vita ya maslahi? Na kama ndivyo kwa manufaa ya nani?
Na kwa nini iwe Gairo na si maeneo mengine ambapo "shughuli" kama hii inafanyika ama na Kampuni
hii au inayofanana na hii kiutendaji. Let say "Singida" for instance!
oops hizi ni habari za lumumba..si ndio wameshika nchi..si ndio wana midahalo mingi sana ya kutetea taifa la iran?si ndio waliopokea madakatari wa kuja saidia nyamazisha migomo na hatari ya kuindoa CCM?Si issue za kuanzia UDSM political science ...wapiga tarumebeta..wamepigia sana hawa jamaa upatu kw akiasi ch akuwiata ndugu zetu ..sijui comrades....ni wazi wana CCM wana mengi ya kuwaumbua..na wale wanaowalinda wairan kwa kigezo cha dini nao sijui watsema wayahudi ndio wamezuia mradi....
It hurts! or is it otherwise?
Nieleze kati ya hao, ni nani asiye tumia maji?
Ungekuwa hivi siku zote tungekuwa na umoja na kuunganisha nguvu kupinga udhalimu serikalini.Kampuni inayoitwa Serengeti, ilipatiwa mradi wa kuwapa maji wana Gairo, Darisalama, Zanzibar. Jee, wamewapa maji?
Cha kushangaza na kusikitisha, hii sio kampuni ya Kitanzania, ni kampuni inayomilikiwa na mtu anaeitwa Ali Talebi, ni Muiran ingawa ana Uraia wa Kitanzania wa kupewa. Si mzaliwa wa Tanzania, wala wazee wake. Na kajaza wafanyakazi wa Kiiran, seuse ya kuwa wana vikwazo vya Kimataifa.
Miradi yake yote kajaza menjimenti za WaIran, na haikamiliki.
Hivi, hiyo miradi waliopewa> ni kwa vigezo vipi? kampuni za Kitanzania zilishindwa? (Ingawa na wao wanajifanya ni kampuni ya Kitanzania) Ukweli ni kuwa ni waongo, si Watanzania.
Hivi wale wana Usalama wa Taifa wanajuwa kuwa maisha ya Watanzania yako mikononi mwa hawa watu? maji, maji, maji!
Hivi wale wa idara ya kupambana na rushwa wameshachunguza hawa watu wanapataje hii miradi?
Kwa mara ya kwanza mradi unatangazwa ilidaiwa kuwa ungekamilika ndan ya miezi 18 lakn mpaka sasa hamna kitu hyo ilikuwa october 2010 wale wa iran wapo wawil pale gairo hakuna la mada maji shda mpaka aibu kwa mama zetu. Kuna kipind vijana wa pale walitaka ku organize maandamano lakn wakaona wasubir uchaguzi 2015
JF.
Daah. Mada ya muhimu kama hii hamjaipa kipaumbele zaidi ya upuuzi wa wanasiasa?
Mnasikitisha sana.
Hapa ndipo JF ilipofika?
Nawauliza, mnajuwa kuhusu maji na umuhimu wa maji kwa Mtanzania? na au mwingine yeyote duniani?
Leo tunashindwa kujadili utapeli wa wachache unaohusu maji! au ni kwa kuwa wote mnaoingia humu mna uwezo wa kununuwa maji? au kuyapata maji bila "effort"?
Inasikitisha sana.
ila watz bwana hata maji tu tunawekeza kwa waarabu koko?