Unpata OG na warranty kabisa ikiwa kampuni husika official Ipo Tanzania.Wajuvi wa mambo,
Kama heading inavyosema. Hivi, hapa Dar/Tz duka gani huuza vifaa vya elektoniki mfano simu, kompyuta , camera, n.k. halisi kabisa? Yani ninunue, niweze kusajili kifaa changu kwenye website ya manufacturer,kwa mfano, kama wafanyavyo mbele huko.
Je, ni kweli nikiingia maduka yetu yanayojiita wakala, mfano, nikinunua Sony hapa bongo, nikiingiza serial numbers kwa website husika ya Sony itakubaliwa?
Wazoefu ninaomba msaada
Asante sana ndugu. Ngoja nifanyie kazi.Unpata OG na warranty kabisa ikiwa kampuni husika official Ipo Tanzania.
Mfano Samsung official wapo Tanzania na ukinunua Bidhaa zao kwenye Duka ambalo linatambulika ukiweka Serial online unapata warranty na benefits zote zinazotambulika.
Kujua kama kampuni yako pendwa ipo Google ama ingia site ya manufacture angalia kama kuna wakala anayetambulika.
Sony hapo juu uliulizia Nimecheki site yao wana dealer mmoja tu anaetambulika hapa