Nadhani ni upungufu wa kuelewa neno #JIHADI# wengi wakilisikia hawafikirii vingine zaidi ya vita, Jihadi ina maana mengi
Na jihadi kwa maana ya holy war, inasheria zake na sio kila mtu ataitisha jihadi, ni lazima kwanza itolewe fatwa ambayo Gadafi hana utaalam huo wala sifa ya kutoa fatwa