The Weekly World News was a largely fictional news tabloid published in the United States from 1979 to 2007, renowned for its outlandish cover stories often based on supernatural or paranormal themes and an approach to news that verged on the satirical. Its characteristic black-and-white covers have become pop-culture images widely used in the arts. It continues to exist as a website.endelee kutafiti huenda mifupa ya kaini na abeli ikapatikana bila kusahau ile ya wanefili. By the way Kiranga Eiyer Ishmael Punjab Singh kahtan na bibie faizafox mnaxhochote cha kuongea juu ya hili?
Upo sahihi mkuu.kuna picha inamaelezo zaidi ya udhibitisho kuwa ni goliati,ilikataa kuupload. Ngoja nijaribu tena.
mbona kwenye bible daudi alimkata kichwa goliati
Watakua wameona ngeu aliyopigwa jiwe na Daudi!!!
teh, mkuu haupo serious.
wanazidi kuwapoteza
Ndiyo maana fuvu limepatikana peke yake bila kiwili wili kama ilivyoandikwa kuwa Daudi alimkata kichwa Goliath kama uthibitisho kuwa amemuua. Kuna kipi hukukielewa kwenye hii thead au lugha? Wagunduzi wameeleza yaonekana kichwa kilikatwa na kitu kikali(sword) jambia, upanga n.k.
Hawa watu mara hakuna Mungu binadamu wa kwanza nyani mara wanaibuka na kugundua vitu vilivyo kwenye bible / qurani ss tushike lipi ss
huoni mifupa mingine hapo?