Fuvu la Goliati lagunduliwa

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,117
Reaction score
8,096
Ni huko Israeli

 

Attachments

  • 1427030487073.jpg
    17.6 KB · Views: 7,061
  • 1427030682162.jpg
    24.2 KB · Views: 2,465
waongo hao wanataka kuvuta watalii tu.wamejuaje kma ni goliath na c mtu mwingine?
 
Hizi ni siku za mwisho tutaona mengi, hivyo tuwe makini tusiamini vya kuambiwa mpaka tuone wenyewe
 
kwaiyo wametengeneza ?
lkn vpimo si vitatumika...

na je ni kwel goliati.. au usanii ndani ya israel..
 
Hawa watu mara hakuna Mungu binadamu wa kwanza nyani mara wanaibuka na kugundua vitu vilivyo kwenye bible / qurani ss tushike lipi ss
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…