FUSO ya kukodi inahitajika haraka

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2009
Posts
2,987
Reaction score
3,542
Salam wadau!
Nashughurika na kusafirisha mizigo kwenda mikoani, sasa kutokana na kuzidiwa na mizigo nimeamua kutafuta gari za kukodi ila kwa makubaliano maalumu na nitakuwa nailipa kwa wiki, gharama za mafuta na posho ya mtu mmoja(DEREVA) juu yangu, gari iwe ya kubeba tani kumi na iwe kwenye hali nzuri, kwa yoyote mwenye kuwa nayo ani PM nipo DSM

JoJiPoJi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…