Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,327
Umewai nafasi yako mkuu [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji120]Hatari sana mkuu aisee
Duuh hapana mkuu kawaida [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]Umewai nafasi yako mkuu [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Noma kweli profesaDuh noma sana jamaa alitaka kijipenyeza.
-Ndumilakuwili-
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ahsante mkuu kama umeligundua hilo hamna shida bora uzima tu mkuuWatumiaji wa jf jifunzeni kushukuru hata kwa kutoa like.
Ktk wasomaji 300 hamna hata mmoja aliye jishoboa kutoa like kwa jamaa aliye tuletea habari kwa haraka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kaiba trip namuonea imani sana huyo derevaNi Fuso la kubeba Mchanga limepita kwenye njia nyembamba sana ya kupita magari madogo bajaj pikipiki na baiskeli lilikuwa linaenda kumwaga mchanga sehemu, bahati nzuri maliwatoni kulikuwa hamna mtu angekuwepo mtu sijui ingekuwajeHapo tyre za upande wa kushoto za nyuma ya fuso zikiwa zimevunja choo na kutaka kutumbukia ndani ya shimo la choo Mkarandinga [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Sent using Jamii Forums mobile app