BornTown JF-Expert Member Joined May 7, 2008 Posts 1,716 Reaction score 486 Oct 8, 2010 #1 Wana jamvi nimepata taarifa muda mfupi kuwa FUSO la kubeba mchanga limegonga na kulalia watu waliokuwa kituo cha basi. wenye Taarifa kamili walio karibu na eneo la tukio
Wana jamvi nimepata taarifa muda mfupi kuwa FUSO la kubeba mchanga limegonga na kulalia watu waliokuwa kituo cha basi. wenye Taarifa kamili walio karibu na eneo la tukio
Uncle Rukus JF-Expert Member Joined Jun 16, 2010 Posts 2,415 Reaction score 398 Oct 8, 2010 #2 Makondeko ndio wapi? ebu fafanua vizuri tafadhali.