W WEKKI JF-Expert Member Joined Feb 17, 2014 Posts 477 Reaction score 146 Sep 18, 2018 #1 Wakuu nimekuwa nikiifuatilia hii wilaya iliyopo mkoa wa Tanga kwa wenyen taarifa nzuri juu ya wilaya hii kuhusu fursa na maisha yake kiujumla yakoje kwa mtu anayetaka kwenda kuanza harakati. Naanza kufuata amri ya mkulu.
Wakuu nimekuwa nikiifuatilia hii wilaya iliyopo mkoa wa Tanga kwa wenyen taarifa nzuri juu ya wilaya hii kuhusu fursa na maisha yake kiujumla yakoje kwa mtu anayetaka kwenda kuanza harakati. Naanza kufuata amri ya mkulu.