M MlimaSayuni JF-Expert Member Joined Mar 23, 2013 Posts 7,299 Reaction score 13,736 Apr 2, 2016 #1 Kutokana na ukuaji wa Teknolojia, ongezeko la vyuo na fani mbali pia na upanukaji wa soko la Afrika Mashariki, Je kama vijana wa Kitanzania tumechukua hatua gani katika kutatua changamoto kupitia Biashara.
Kutokana na ukuaji wa Teknolojia, ongezeko la vyuo na fani mbali pia na upanukaji wa soko la Afrika Mashariki, Je kama vijana wa Kitanzania tumechukua hatua gani katika kutatua changamoto kupitia Biashara.
Myahudi Jr II JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 7,004 Reaction score 9,265 Apr 2, 2016 #2 mngeweka na sehemu ya kutoa maoni
M MlimaSayuni JF-Expert Member Joined Mar 23, 2013 Posts 7,299 Reaction score 13,736 Apr 2, 2016 Thread starter #3 Tombstone Piledrive said: mngeweka na sehemu ya kutoa maoni Click to expand... Hapa hapa
Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,957 Reaction score 6,837 Apr 6, 2016 #4 Mleta mada Weka kwanza maoni yako then wasoma sredi tutafuatia