Goodchance
Member
- Jun 27, 2014
- 19
- 18
Habari zenu wana jf. Leo nataka niwaambie kuhusu fursa za biashara ndani ya falme za kiarabu na wadau wengine wenye uzoefu na huku wanaweza kuongezea ambapo sijapagusia.
Uwepo wangu huku kwa kipindi cha zaidi ya mwezi nimeweza kujifunza na kutafiti fursa mbali mbali ambazo kwa mfanyabiashara mwenye mtaji mdogo, wa kati na mtaji wa juu anaweza kufaidika na fursa hizi. Either kwa kuagiza mzigo au kuja mwenyewe na kustudy fursa hizo then akapata idea ya biashara gani anaweza kuifanya.
Kwa haraka haraka fursa ambazo nimeziona ni kama zifuatazo
1. Biashara ya nguo.
2.Biashara ya vifaa vya ujenzi na umeme
3. Biashara ya vipodozi
4. Magari ya biashara au ya matumizi binafsi
5. Spea za magari
6. Tende kwa msimu huu wa Ramadan
7. Simu, laptops. Tablets n.k
Unaweza kuuliza swali nikakupa msaada kadri ya uelewa wangu

Nataka kufanya biashara ya vipidozi,naomba muongozo wako
Mm nauza madini ya vito (gemstone) soko lipoje ukoHabari zenu wana jf. Leo nataka niwaambie kuhusu fursa za biashara ndani ya falme za kiarabu na wadau wengine wenye uzoefu na huku wanaweza kuongezea ambapo sijapagusia.
Uwepo wangu huku kwa kipindi cha zaidi ya mwezi nimeweza kujifunza na kutafiti fursa mbali mbali ambazo kwa mfanyabiashara mwenye mtaji mdogo, wa kati na mtaji wa juu anaweza kufaidika na fursa hizi. Either kwa kuagiza mzigo au kuja mwenyewe na kustudy fursa hizo then akapata idea ya biashara gani anaweza kuifanya.
Kwa haraka haraka fursa ambazo nimeziona ni kama zifuatazo
1. Biashara ya nguo.
2.Biashara ya vifaa vya ujenzi na umeme
3. Biashara ya vipodozi
4. Magari ya biashara au ya matumizi binafsi
5. Spea za magari
6. Tende kwa msimu huu wa Ramadan
7. Simu, laptops. Tablets n.k
Unaweza kuuliza swali nikakupa msaada kadri ya uelewa wangu
Nataka kufanya biashara ya vipidozi,naomba muongozo wako
mie nataka mabaibui ya ramadhani. tsh ngapi?
hizo spare no 2 kunasehem maalum kwa ajili ya spare ambapo mtu akija anawezanunua kwa bei ya jumla na kuondoka na vipi kwa uzoefu wako ni kama chine kwa ufeki i mean kuna kua na feki
Kak mm npo interest sana apo # 2 na # 5..ebu nielekeze vizur inahitaji mtaji wa kuanzia kam sh.ngapi hvi.?na inakuaje upatkanaj wake
Mm nauza madini ya vito (gemstone) soko lipoje uko
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Nina mtaji wa 20 milioni,na je unaweza kutosha?
Inategemea unataka spear zipi? Wauzaji wa bidhaa zote UAE ikiwa bidhaa ambayo sio original wanakuambia na bei yake inakuwa toauti na original,
Sharjah ni sehem ambayo inauzwa spear aina zote kwa bei nzuri kuliko Dubai,
thanks sana sema ni airport gani unatumia kufika hapo hio arabu emirate zinanichanganya sana nimejaribu kuingiza hilo jina kwa booking ya ndege lakini halileti any airport plse msaada nafikaje hapo sharjah