Fursa za biashara nchi ya Thailand

Mkuu kwanza nakushukuru kwa taarifa ulio tupatia. Lakini pia kama unafununu ya vitu ambavyo tunaweza kutoa huku kwetu kupeleka huko.

Kwa nchi za kiafrica kupeleka mzigo kule ni risk sana sababu mamlaka zao husika ziko makin sana ukituma kitu ambacho kiko chini ya kiwango hawatokubali.

Kutoa africa mzigo kupeleka thailand inabid kwanza uende wizara ya biashara ufatilie zaidi.

Pia cha kukushauri fanya utafiti kuhusu ngozi ya ng'ombe sababu kule kuna viwanda vingi vya viatu lakin bidhaa za chakula usijaribu vitazuiwa harafu utakula hasara
 

Kweli mkuu, ngozi anaweza kupeleka, sema inahitaji investment ya kutosha na uangalifu mkubwa kwa sababu wale sku hizi hawanunui kavu wananunua ngozi mbichi, hivyo unatakiwa kuwa na storage facility za maana.
 
Smile Money Stunna anakaa USA, labda tufuate ratiba yake; lkn kwa maelekezo nafikiri twaweza kwenda tu. Mimi nataka kuivaa hii fursa 100%. Twende pm kwa mipango zaidi, maana safari ya wawili si sawa na mmoja.

Naomba kuungana nanyi tukajishuhudie hii fursa jaman...ami na kaunga
 
Last edited by a moderator:


asante sana mkuu.kama jf topic zote zingekuwa hivi basi tungekuwa mbali sana.naamini hasa vijana wanaopoteza muda mwingi kushabikia siasa na wanasiasa wangetumia fursa kama hizi tungekuwa mbali sana.yaani unashangaa kijana miaka 3 kabla ya uchaguz kazi yake ni kutoka povu nani awe rais na nani asiwe.lait angetumia muda huo kukamata fursa kama hizi naamini angekuwa mbali sana.thanx much money stunna kwa constructive idea kama hii.
 

Pls weka contuct zako mkuu tuweze ku shere idea.
 
Mimi naona ni muhimu watu wakijipanga kama team ili kuweza kufanya kitu cha maana. Kama hili wazo litakubalika napendekeza muanzisha mada uweke namba zako ili watu wakutane kupitia wewe tutengeneze team ya mafaniko.
 

Chukua Like Mkuu! Vijana tuache kusumbuliwa na siasa zinazopotosha, maendeleo yetu yanaletwa na sisi wenyewe, huwezi kukaa umebweteka ukitegemea maendeleo yako yatatokea tu yenyewe, wewe ndie unaepaswa kuyasababisha kwa constructive ideas za kujikwamua na si majungu na matusi ya kijiweni. Mwanzisha thread umenifumbua macho and Im thinking so hard on how to pursue this great opportunity! Tutatafutana PM
 

kweli mkuu,tunapoteza muda mwingi katika ushabiki,hebu imagine mkuu,hivi nikipoteza muda wangu mwingi kumshabikia kiongozi flani eti anafaa kuwa raisi mwaka ujao,na kweli akawa,baada ya hapo hali yangu ya kiuchumi itabadilika?vijana wa kitanzania tunapotea sana,yaani hatujitambui kabisa
 
NAOMBA NIFAAMISHWE MAMBO YAFUATAYO

1. TRA wanatumia utaratibu hupi katika kukotoa kodi ya bidhaa za nguo zinazo ingizwa nchini ( hii hitasaidia kuweza kujua kiwango cha kodi unachopaswa kulipa, mala niingizapo mzigo)

2. Hutaratibu unaotumika na hawa jamaa wa HSC katika uwakala wa mizigo, nimepitia tovuti yao ( HSC- Home Shopping Center Tanzania) sijapata taarifa zozote. Ninachotaka kujua je huko Thailand wana ofisi au inabidi niwasiliane nao kabla ya kuondoka
Kama kuna mtu alishawai fanya nao kazi naomba ashirikishe uzoefu wake.
 

Wabongo wote wangekua na tabia kama yako... This country would have been a much better place. Wengi roho mbayaa na ubinafsi sanaa. Mkuu i really appreciate ur idea & information. I will work on this info. #Barikiwa Sanaa !!
 

Mkuu hyo cement unayo import kutoka dubai...ikifika hapa TZ unauzaje ??
 

Ni Kupoteza muda Mkuu! Unakaa unatokwa povu kumshabikia mtu tu! Ni ushabiki wa kipuuzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…