Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,333
- Thread starter
-
- #301
Watu wengi mnauliza kuhusu gharama .wenzetu Wanigeria,Wakenya ,Waganda etc wanafanikiwa kuleta mzigo kuliko sisi watanzania kwa sababu hii,
Sababu kubwa wanaungana ni gharama kama mtu mmoja kuleta kontena pekeyako sababu ata ilo kontena hautolijaza.
Ila gharama zinakuwa ndogo sana kama mkiungana watu mnaoleta mzigo pamoja mkajaza kontena .Gharama zitakuwa ndogo sana na mtapata faida.
Kikubwa kama mnataka kuleta kwa kontena mtafutane watu wenye nia moja mkutane na muungane gharama zitakuwa ndogo sana .Labda kama utataka kuleta kwa sanduku kwa ndege.
Wenzetu wamepiga hatua sababu ya kufanya hivyo na imewezesha ata wenye mtaji mdogo kujiinua na sababu wana mtaji mkubwa.
Bila kuungana labda kama una mtaji mkubwa.
charminglady ladyfurahia amu Kaunga,Mtanganyika na wengine wote
kwani ni lazima uende physically huko kufuata mzigo ?..si unaweza fany amanunuzi online na mzigo ukaja ?chachandumbaya fanya hesabu mwenyewe si lazima kila kitu utafuniwe. Nauli+malazi+mzigo+kodi+mengineyo, kisha unakokotoa bei inayoweza kuuzika huku ili upate faida.
Watu wengi mnauliza kuhusu gharama .wenzetu Wanigeria,Wakenya ,Waganda etc wanafanikiwa kuleta mzigo kuliko sisi watanzania kwa sababu hii,
Sababu kubwa wanaungana ni gharama kama mtu mmoja kuleta kontena pekeyako sababu ata ilo kontena hautolijaza.
Ila gharama zinakuwa ndogo sana kama mkiungana watu mnaoleta mzigo pamoja mkajaza kontena .Gharama zitakuwa ndogo sana na mtapata faida.
Kikubwa kama mnataka kuleta kwa kontena mtafutane watu wenye nia moja mkutane na muungane gharama zitakuwa ndogo sana .Labda kama utataka kuleta kwa sanduku kwa ndege.
Wenzetu wamepiga hatua sababu ya kufanya hivyo na imewezesha ata wenye mtaji mdogo kujiinua na sababu wana mtaji mkubwa.
Bila kuungana labda kama una mtaji mkubwa.
charminglady ladyfurahia amu Kaunga,Mtanganyika na wengine wote
Kwa nini watu wasiungane,na kusaidiana kibiashara?Watu wakiwa serious wakiwauliza huko PM hamjibu wala hamtoi msaada Wa kina...
Watanzania bado Sana.
Kwa nini watu wasiungane,na kusaidiana kibiashara?
Money Stuna, ahsante sana kwa kutoa fursa adimu kama hiii, naomba kuuliza swali la mwisho, vipi mambo ya uzazi, yanapatikana kirahisi? hasa kwa mi-afrika?
sijakuelewa unamanisha kutoa kizazi au uzazi wa mpango
kwani ni lazima uende physically huko kufuata mzigo ?..si unaweza fany amanunuzi online na mzigo ukaja ?
Watu wengi mnauliza kuhusu gharama .wenzetu Wanigeria,Wakenya ,Waganda etc wanafanikiwa kuleta mzigo kuliko sisi watanzania kwa sababu hii,
Sababu kubwa wanaungana ni gharama kama mtu mmoja kuleta kontena pekeyako sababu ata ilo kontena hautolijaza.
Ila gharama zinakuwa ndogo sana kama mkiungana watu mnaoleta mzigo pamoja mkajaza kontena .Gharama zitakuwa ndogo sana na mtapata faida.
Kikubwa kama mnataka kuleta kwa kontena mtafutane watu wenye nia moja mkutane na muungane gharama zitakuwa ndogo sana .Labda kama utataka kuleta kwa sanduku kwa ndege.
Wenzetu wamepiga hatua sababu ya kufanya hivyo na imewezesha ata wenye mtaji mdogo kujiinua na sababu wana mtaji mkubwa.
Bila kuungana labda kama una mtaji mkubwa.
charminglady ladyfurahia amu Kaunga,Mtanganyika na wengine wote
Shukrani ya punda......!!!Ukiwa tayari nitafute nikupe connections za kule nilizuru mwaka Jana October...
hawa waleta mada ni wapiga porojo tu hawana msaada wowote you can't believe ni diplomat flan ndo alinipa mchongo nikatimba....
ukiwa tayari usisite kunijulisha ntakusaidia.
sorry wakuu tuna ubalozi wetu huko Thailand? na may be mtaji kiasi gani unatosha kontena ndogo?
Ukiwa tayari nitafute nikupe connections za kule nilizuru mwaka Jana October...