Fursa ya kutafsiri video za mkutano wa TED (TEDTalks)

mzeemzima

Senior Member
Joined
Apr 14, 2010
Posts
132
Reaction score
87
Wadau,

kuna fursa ya kutafsiri video za mkutano maarufu duniani wa TED( TED: Ideas worth spreading) kwenda lugha ya kiswahili . Hi ni fursa itayokuwezesha kunetwork na watu mbalimbali duniani na kukusaidia wewe mwenyewe kuwa up to date na maendeleo ya sayansi na teknolojia duniani.

Kwa wale ambao wataguswa kushiriki kufanya hivi , ni rahisi sana tafadhali fuata maelezo katika link hii, Get started

Baadhi ya video ambazo zimeshatafsiriwa kwenda lugha ya kiswahili ni kama hizi katika link hii TED Talks
 
nijuzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…