Fursa ya kupanua biashara yako

Fursa ya kupanua biashara yako

Mkomaly

Member
Joined
Sep 22, 2011
Posts
32
Reaction score
3
Natafuta maduka ya vyakula au yenye biashara yeyote ambayo unaweza kuweka freezer kwa ajili ya kusambaza nyama baridi(frozen meat)kama kuku,ngombe na batamzinga.Freezer hizo tunazigawa kwa wenye maduka ili aweze kununua bidhaa kutoka kwetu na kuhifadhi kwenye hizo freezer maeneo ya dar.Kwa maelezo zaidi piga 0682 682222.KARIBUNIIII:redface::redface:
 
Back
Top Bottom