sijawahi kuwaelewa Kwa kweli.mpaka Leo nalazimishwa kujiunga...
kuna jamaa yangu alinialika kuhudhuria seminar ya alliance global,kidogo wanapiga makofi,mara anayetaka kumiliki nyumba kama hii,watu mikono juu,mimi nimekula ndita,sipigi Kofi Wala kuinua mkono juu.msemaji akanipiga dongo,sikuwahi kurudi tena.